BUNGE LA UK Vs TANZANIA

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
UK Parliament

NB
Cha jabu Mimi mtanzania lakini habari za bunge la UK ziko accessible na nazipata bila vikwazo kulikoo habari za bunge langu la tanzania. Why? Je majibu ya maswali kama haya tutayapata wapi?kwa nini yanakuwa maswali magumu kama hesabu za calculus
Sasa mtanzania anayetembela tovuti ya bunge la Tanzania anapata taarifa gani Parliament of Tanzania

Tanzania Parliament


So nini Tofauti ya Bunge au Mbunge wa Tanzania na bunge na Mbunge wa UK.?​
Kwa haraka haraka tunaweza kusema mbunge wa Tanzania anapata kiwango kidogo lakini ukiangalia kwa upana Mbunge wa UK hayuko katika hingest paid ppl katika jimbo lake. Kwa Tanzania nadhani Wabunge ni among best paid katika majimbo. So Politics ni highest paying job in Tanzania. If we don’t stop This tutaelekea pabaya. Wabunge waache kasumba ya kulinganisha mishaahara yao na mabunge ya Commona welath wabunge walinganishe mapatao yao na GDP na nchi. Wabunge na bunge wawe wazwazi kuonyesha serikali mfano.



Wito
I
Huu ni uwazi unatakiwa kwa bunge letu. Bunge letu wakati wauongozi wa Six lilianza kuonyesha dalili nzuri lakini tatizo lilionyesha makucha yake wa serikali tu. Wananchi tunapenda bunge nalo liwe wazi na utendaji w ake wa kazi na mambo ya mapato yao na matumzi yawe wazi.
Ni mchezo wa kuigiza bunge kukema serikali wakati lenyewe halionyeshi mfano.

II

Wataalmu wa ICT wa bunge waweke kipengele cha FAQ kwenye tovuti ya bunge. Na publishers waweke hizo taarifa kama ilivyo kwenye tovuti ya bunge la UK. Hizi FAQ ni maswali wapiga kura wengi wanajiuliza. Hiyo ndiyo mifano ya Kuiga

III
Watanzania wengi matumaini yetu yako kwa wabunge wa upinzani. Tunaomba wawe wajasiri na kuhoji mambo ya bunge hata kama kipande cha mkate wao kitamegwa. Tunataka tuskie wabunge hawa wanawasilisha hoja mfano ya wao kulipa kodi tuone hao wa CCM kama watakataa.



NB
Leo nimejisijikia kuandika hadithi kwenye siasa.


Nawasilisha.
 
we mtazamaji unahoji siri za serikali....?
 
we mtazamaji unahoji siri za serikali....?

Hizi siri inabidi tuzijue na tuwakumbushe hata kama watakereka.

  • Kwa nini politics iwe ni best paying career tanzania and africa?
  • Kwa nini mbunge azidi mapato afisa elimu, madini, kilimo, mhandisi, RPC wa mkoa.
Je hao tunawaiga kama UK. mbunge wa jimbo ana rank nafasi ya ngapi katika malipo jimboni mwake?. Hawa wabunge wanatakiwa kuwa wawazi. Au wahakikishe watu wa kuleta maendelo ya nchi hii nao wanapata vinono kama wao.. Mbunge gani kawai kusema maafisa kilimo wa wilaya au mikoa wapewe mishahara kama ya wabunge au japo mikopo ya magari.??????

Maendeleo ya nchi hayaletwi na mbunge bali ni .Afisa kilimo, madini mifugo, afya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…