Bunge la katiba

Bunge la katiba

karekwachuza

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
999
Reaction score
335
Ccm acheni kushinikiza kuwa na serikali mbili.acheni maoni ya wananchi yafanyiwe kazi
 
Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe bila hivyo kuna kazi ya kujakutia viraka katiba miaka michache ijayo
 
Ccm acheni kulazimisha katiba kutungiwa gizani, ruhusuni kilsa kitu kiwe wazi ili wenye nchi tuweze kushuhudia
 
Back
Top Bottom