BUNGE la KATIBA liwepo KILA MWAKA

BUNGE la KATIBA liwepo KILA MWAKA

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Yaani hata hilo bunge lisengekuwepo usifikiri kama kungekuwa na mabdiliko yoyote yale,

Usitegemee kama hiyo fedha kama ingejenga barabara wala shule,

Pamoja na kwamba bunge hilo limetumia billions of money ila bunge lisengekuwepo hiyo fedha wala isingeonekana.

Bora bunge hilo limetoa fursa kwa watu ambao hawajawahi kupiga hela ya walipa kodi, bora hili bunge liwepo kila mwaka watu wapya wawe wanapata hiyo fursa ya kipekee.
 
kweli kabisa na kila mwaka wajumbe wanabadilika hadi watanzania wote tupate zamu.
 
Back
Top Bottom