bunge la bajet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bunge la bajet

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by salvatory mushi, Jun 13, 2012.

 1. s

  salvatory mushi Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp baada ya bunge la bajet kuna uwezakano wa kutoa nafasi nyingine za ajira kwenye mikoa na wilaya mpyamana ajira zilozotolewa sidhani kama zinajitosheleza,nying ni za wapishi,walinzi na madereva:painkiller:
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ajira ni lazima zitatoka maana moja ya vipaumbelke vya bajeti ijayo ni kuendeleza maeneo mapya ya utawala
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kuajiri tena kama si November mwaka huu basi ni kusubiri mwaka mwingine wa fedha July 2013.
   
Loading...