Ccm chama changu Member Joined Mar 12, 2019 Posts 31 Reaction score 31 Feb 5, 2026 #1 Kwa trend inavyoelekea na namna. spika atataka kutumiwa na mfumo kumlinda mama dhidi ya wakosoaji wake ndani ya chama chao. Naona kabisa wakifukuzana bungeni na hali itakuwa ngumu sana bungeni.
Kwa trend inavyoelekea na namna. spika atataka kutumiwa na mfumo kumlinda mama dhidi ya wakosoaji wake ndani ya chama chao. Naona kabisa wakifukuzana bungeni na hali itakuwa ngumu sana bungeni.
N NorthFace Senior Member Joined Dec 7, 2022 Posts 111 Reaction score 196 Feb 6, 2026 #2 Hakuna Mbunge wa kuikosoa SERIKALI pale
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,042 Reaction score 195,821 Feb 9, 2026 #3 Muda huongea... Cc: Mahondaw