Bunge la 2020/2025 halina tofauti na vikao vya CCM


Bora kuliko wapinzani limbukeni
 
Safi kabisa upinzani wanakwamisha Sana maendeleo ya nchi nzima na kumkwamisha Jiwe Sasa nchi itapaa kwa kasi sana .
 
Atu fikirii juu ya luzuku tunafikilia Bunge la upande mmoja bila upinzani akuna Usawah utakao tendeka Mimi ni Ccm ila sina furah tena na wateule wangu
 
Wananchi wameamua kwa kishindo.. nchi huru ndio hii.. amani na upendo tele.. uchaguzi umeisha salama

Historia imeandikwa

Magufuli Oyeeeeeeeee
Mimi na Watanzania mamilion hatuna furaha na amani kwa dhuluma hii.
 
Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya
 
SACCOS imefungwa Rasmi na msukuma
Tuseme Saccos imetumbuliwa kinyele
hakuna michango ya viti maalum tena
Wala hakuna ruzuku
Mungu amesikiliza kilio cha lijua likali
Pamoja na wale wadada waliokuwa wanaliwa kwa rushwa ya ngo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…