Bunge itakuwa saa moja

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,979
1,413
Kwa taarifa kutoka kwa Mh Zitto Kabwe wabunge watakutana saa moja baada ya PAC ,CCM na UKAWA kuafikiana.
 
dah yan bunge linakutana mara tatu kwa siku moja bila kuongea chochote..hv kila wakikutana wanalipana posho za vkao au vip??
 
dah yan bunge linakutana mara tatu kwa siku moja bila kuongea chochote..hv kila wakikutana wanalipana posho za vkao au vip??

wanapiga hela kwamaana sasa ni extra time ya bunge ,acha wazipige hazina mwenyewe
 
Back
Top Bottom