Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752

Salaam...
Mtakuwa ni mashihidi bunge lililopita wabunge walivyoshikamana baada ya kile walichodai kutukanwa na mkuu wa mkoa wa dar,na. Mkuu wa wilaya Arumeru.ilikuwa ni kazi kujua yupi ni CCM au CDM.
lakini mtakumbuka pia walipokuwa wanatetea kuhusu makato yao ya kodi walijitetea bila kujali vyama vyao.
Inapokuja issue za kitaifa,au za wananchi hapo ndio utakapoona U-CCM NA U-CDM.
SIJUI DHAMIRA YAO NI KUONGEZA MUDA WA KUPATA POSHO AU kusaka kiki HATA SIWAELEWI.
LAKINI PIA SPEAKER AMEKUWA ANASHINDWA KUTOA MATAMKO YANAYOWAFANYA WAJIHISI WANAONGOZWA NA SPEAKER WA WOTE,speker amekuwa akiwafanya wapinzani wajihisi "yatima".kwa mfano kwa kauli kama "nyie wa upande huu sijui mkoje" nk ...Speaker anajisahau kama anapokuwa pale mbele chama akiweke pambeni na matokeo yake ni kutukanwa...