Bundle Bomba: Tuambizane Sasa!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Igweee!!!

Wadau sasa leo tumeamka mabalaa, sio HALOTEL sio TTCL.

Wakati Halotel wametoa yale mabando ya kimaskini, nao TTCL wameona isiwe tabu lile bando pendwa TAM TAM wameamua kupiga rungu kabisa toka 1.5gb mpaka Mb600.

nikajaribu weka ka-simcard kangu ka zantel nilikokatelekeza muda mrefu labda nitapata lile bundle la 5gb kwa 5,000 nako huko nikakutana na balaa lile lile

Kwa kifupi naona kumechafuka kote, sio Tigo, vodacom wala TTCL, Halotel nako hakukamatiki kama Zantel.

Hebu tupeane maujanja sana twende wapi na tufanye nini. (Mimi atleast matumizi yangu kwa mwezi 30gb)
 
Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure

Unachotakiwa kufanya kama ni tigo unatuma neno BURE unaliandika kwa herufi kubwa kwenda namba 15166

Unapata gb 14 buree jaribu hii utakuja kunipa mrejesho

Kwa mnaotumia halotel cha kufanya download app ya halopesa tu ukilog in tu unapata ofa ya gb 2 na dk week nzima

Jaribuni hizi mtakuja nishukuru
 
Nimekushukru, nimefanya kama ulivyosema, nimedownload app ya halopesa nikazawadiwa MB 2048 sawa na GB 2.
 
Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure

Unachotakiwa kufanya kama ni tigo unatuma neno BURE unaliandika kwa herufi kubwa kwenda namba 15166

Unapata gb 14 buree jaribu hii utakuja kunipa mrejesho

Kwa mnaotumia halotel cha kufanya download app ya halopesa tu ukilog in tu unapata ofa ya gb 2 na dk week nzima

Jaribuni hizi mtakuja nishukuru
Mi nimejaribu kwa tigo wanadai EMEI namba mi sijui naipataje?
 
Hivi ni kweli hawa watu wamerudia kutupiga kwenye bando? maana mimi bado natumia la wiki ambalo huwa natumia....labda nikinunua wiki ijayo ndo naweza kukutana na surprise. Haya mambo na yanakwamisha sana hali ya maisha ya wananchi, waache waendelee kudemka.....
 
Maisha yamekuwa magumu sana. Kwenye upande wa Bundle nadhani wanataka watu wasiwe na Bundle ili wafanye kazi wasichart sana insta na fb

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wanaoenda sana instagram au facebook huwa hawaisemi sana serikali wao sana sana kufata umbea tu ,sasa hao ndio waathirika wakuu ila wale ambao wapo katika kuisema serikali kuikosoa hawa hata uweke 1GB kwa elfu 10 watajiunga tu.
 
Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure

Unachotakiwa kufanya kama ni tigo unatuma neno BURE unaliandika kwa herufi kubwa kwenda namba 15166

Unapata gb 14 buree jaribu hii utakuja kunipa mrejesho

Kwa mnaotumia halotel cha kufanya download app ya halopesa tu ukilog in tu unapata ofa ya gb 2 na dk week nzima

Jaribuni hizi mtakuja nishukuru
Mkuu wa kitengo ..ivi izi offa bado zipo kweli
 
Back
Top Bottom