Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kufuatia tatizo la panya wanaoshambulia watoto katika Jimbo la Johanesburg,ndege aina ya bundi wanatumika kuwaangamiza panya hao. Serikali ya Jimbo hilo inawatumia bundi ambao hula sana panya wakati wa usiku.
Tayari kuna mafanikio katika kuwadhibiti panya hao kwa kutumia bundi. Kimsingi,bundi wamekuwa lulu Jimboni humo.
Chanzo: BBC
Bundi hapa kwetu tunampiga vita.Wenzetu wanamtumia
Mzee Tupatupa
Mnanishangaza! Yaani bundi wana uwezo wa kudhibiti panya zaidi kuliko paka?Hao ndege ni wazuri sana ktk kudhibiti panya.Niliwahi kufanya kazi stores kulikuwa na godowns tumehifadhi mbegu mbalimbali na panya walikuwa wanakula sana mbegu.Ilikuwa ni kampuni ya wazungu wakawa wanafuga bundi kwa ajili ya kudhibiti panya na kwa kweli ilifanikiwa sana hiyo plan. Hua wanauwa panya kwa kuwakata vichwa na kula kisha viwiliwili hawana mpango navyo.
Kufuatia tatizo la panya wanaoshambulia watoto katika Jimbo la Johanesburg,ndege aina ya bundi wanatumika kuwaangamiza panya hao. Serikali ya Jimbo hilo inawatumia bundi ambao hula sana panya wakati wa usiku.
Tayari kuna mafanikio katika kuwadhibiti panya hao kwa kutumia bundi. Kimsingi,bundi wamekuwa lulu Jimboni humo.
Chanzo: BBC
Jimbo la Johannesburg? Ulimaanisha Gauteng?
Hujaelewa nini we mzamiaji ?
na meli au na nini
wewe baharia au nini ??
mi ZIWAria
Norway Bundi ni ndege mwenye heshima kubwa kama tunavyomuheshimu Twiga au TausiBundi hapa kwetu tunampiga vita.Wenzetu wanamtumia
Mzee Tupatupa
Mnanishangaza! Yaani bundi wana uwezo wa kudhibiti panya zaidi kuliko paka?