Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Kufuatia tatizo la panya wanaoshambulia watoto katika Jimbo la Johanesburg,ndege aina ya bundi wanatumika kuwaangamiza panya hao. Serikali ya Jimbo hilo inawatumia bundi ambao hula sana panya wakati wa usiku.
Tayari kuna mafanikio katika kuwadhibiti panya hao kwa kutumia bundi. Kimsingi,bundi wamekuwa lulu Jimboni humo.
Chanzo: BBC
Tayari kuna mafanikio katika kuwadhibiti panya hao kwa kutumia bundi. Kimsingi,bundi wamekuwa lulu Jimboni humo.
Chanzo: BBC