Kawaida sana.Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi wote wanne ni wa rangi tofauti. Bundi niliyemuona leo mda huu naandika ana rangi ya njano usoni
Bundi niliyemuona last time alikuwa mweupe ana madoa meusi mwili mzima
Bundi niliyemuona kabla ya huyu alikuwa na rangi nyingi
Imekuwa kero kwangu kuona bundi, maeneo ya Dar -Manzese, tena wakiwa wa rangi tofauti. Kuna jamii ya bundi kiasi gani maeneo haya mpaka wanakuwa wengi kiasi hiki
Mwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
Tulikuwa tunaumwa familia nzima mimi, mke na watoto. Ila bundi wameanza kuja kabla ya kuumwaKuna mgonjwa wa muda mrefu, au mwenye hali mbaya!? 🤔
Sijakuelewa
Mwanzo ni ngumu kuelewa ila baadae utaelewa tu. Kimsingi kila kiumbe unachokiona ni wewe katika muonekano mwingine na tofauti.Ajiunganishe nao vp sasa mzee na watamsaidia vp
Si yalifukuzwaga kwenye lile li mbati li SGR kule Morogoro.Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi wote wanne ni wa rangi tofauti. Bundi niliyemuona leo mda huu naandika ana rangi ya njano usoni
Bundi niliyemuona last time alikuwa mweupe ana madoa meusi mwili mzima
Bundi niliyemuona kabla ya huyu alikuwa na rangi nyingi
Imekuwa kero kwangu kuona bundi, maeneo ya Dar -Manzese, tena wakiwa wa rangi tofauti. Kuna jamii ya bundi kiasi gani maeneo haya mpaka wanakuwa wengi kiasi hiki
Mwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
Mkuu jitahidi sana kuepuka hofu, hao viumbe wapo na wanapaswa kuishi kama unavyo ishi wewe na familia yako. Delete fikira mbaya na mawazo mabaya uliyosikia na kuhadithiwa kuhusu bundi na imani nyingine potofu.Tulikuwa tunaumwa familia nzima mimi, mke na watoto. Ila bundi wameanza kuja kabla ya kuumwa
Hii ni pattern flani nawaona. Shida ni kuwa wana rangi tofauti ,hakuna bundi anayefanania mwenzake
Alisimama kwenye dish la azam anachungulia durishani chumbani kwangu. Sikuwa nimelala nilichoona mwanzo ni reflection ya taa, ana sura imekaa kama ❤️ . Ananiangalia kwa kunichunguzaBundi ni ndege anaye Fanya shughuli zake usiku. Hufuata panya na viumbe wengine Kwa ajili ya chakula chao na hupendelea kuvizia wikiwa juu ya nyumba. Macho ya bundi yana uwezo wa Kuona usiku. Bundi hutumia sauti au mlio wake Kwa ajili ya kuwasiliana na wenzie, bundi wapo wenye rangi tofauti , tujifunze kutambua tabia za bundi na viumbe wengine Ili kuondokana na Imani potofu
Hupendi Bundi!? Kwenye kipindi changu cha DSTV huwa nawatumia sana kujua tabia za wanyamaMara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi wote wanne ni wa rangi tofauti. Bundi niliyemuona leo mda huu naandika ana rangi ya njano usoni
Bundi niliyemuona last time alikuwa mweupe ana madoa meusi mwili mzima
Bundi niliyemuona kabla ya huyu alikuwa na rangi nyingi
Imekuwa kero kwangu kuona bundi, maeneo ya Dar -Manzese, tena wakiwa wa rangi tofauti. Kuna jamii ya bundi kiasi gani maeneo haya mpaka wanakuwa wengi kiasi hiki
Mwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
Kuna kiongozi wa CCM anakaribia Kurudi kwa muumba wakeMwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
Ndio unaweza ukawa bundi, njiwa, kunguru na ndege yoyote au kiumbe chochote unachotaka. Uchaguzi ni wako.Bro naomba unifafanulie. Shukrani
Mimi nimekuwa bundi tena?
Yaya ngosha, haya mambati hayafugiki.Au kuna mtu atakuwa anawafuga sio bure