Usiue, neno la Mungu linasemaWataalamu wa ndege aina ya bundi naomba ushauri.
Je naweza tumia njia gani kuwaua hawa bundi kwa sumu?
Acha vitishoFanya booking karemjee!
Hutoboi Christmas mkuu.
Noted.Humu JF kuna Watu bado ni natives sana,
Hivi kweli unamtishia Mwenzako na Mandege hayo?,
Wachawi Possibly wapo, ila ukiwapa kiki watakutesa sana.
Mtoa mada, mimi nikushauri Usiyape attention hayo madude hasa za kishirikina.
Ajiunganishe nao vp sasa mzee na watamsaidia vpMkuu usiwaue au kuwadhuru hao ni viumbe wazuri tu. Usiwahofie badala yake jifunze kuwasiliana nao kwa kuwaangalia tu na kukaa kimya bila kuwachokoza. Fanya tahajudi jiunganishe nao watakusaidia sana.
Kuna mgonjwa wa muda mrefu, au mwenye hali mbaya!? 🤔Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi wote wanne ni wa rangi tofauti. Bundi niliyemuona leo mda huu naandika ana rangi ya njano usoni
Bundi niliyemuona last time alikuwa mweupe ana madoa meusi mwili mzima
Bundi niliyemuona kabla ya huyu alikuwa na rangi nyingi
Imekuwa kero kwangu kuona bundi, maeneo ya Dar -Manzese, tena wakiwa wa rangi tofauti. Kuna jamii ya bundi kiasi gani maeneo haya mpaka wanakuwa wengi kiasi hiki
Mwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
"ame chill kwenye fisher board"! Kinekhe ngosha! Sasa haya mambati mapilipili na masamaki yakhe?Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema