Kuna mmoja alikua analia juu ya bati la nyumba yangu kwa vipindi tofauti tofauti na muda ni ulele ule saa kumi na moja asubui...nikawa natoka namwangalia na yy ananiangalia...namwambia kama umepumzika hapo ww pumzika tuu then uendelee na sfr yako...alishalia kama mara tatu hivi...kwa kupishana miezi....ila nimeona baraka zimeongezeka kwny nyumba yetu π π π π π toka mara ya mwisho alie imepita miezi 6....