Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 305
Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!
waondoke tu hatuwahitaji, WATU WENYE AKILI TIMAMU NA WASAFI WATAENDELEA KUBAKI CCM
CCM ni ile ile
USHINDI NI ULE ULE
USHINDI NI LAZIMA
itabaki ile ile yenye misingi ya baba wa taifa maana wanaoondoka ni WATU WACHAFU, MAJIZI, MAFISADI, MAJAMBAZI , WANAOJINYEA NA WASIO WAADILIFU, ivo watakaobaki ni wale WENYE AKILI TIMAMU, WAADILIFU, WAAMINIFU, WENYE HOFU YA MUNGU KWA KUWA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU. nadhani umeelewa sasa dogo
Bora kumpa kura Mtikila na sio Lowassa.
sina muda wa kupoteza na m**f* wameshiba viroba na ganja hawana muda wa kutafakari,wanafikiri kwa kutumia mdomo!.CHAGUA MAGUFULI kama unataka TANZANIA bora!
Bora kumpa kura Mtikila na sio Lowassa.
sina muda wa kupoteza na m**f* wameshiba viroba na ganja hawana muda wa kutafakari,wanafikiri kwa kutumia mdomo!.CHAGUA MAGUFULI kama unataka TANZANIA bora!
Hivi wewe hujawahi kunya.?
Wabaki huko huko na mauchafu yao. Ushindi gani wa lazima.
Wakipoona nimepita mafisadi wakaanza kuondoka wao wenyewe ila najua na wengne bado wamo ndan ya ccm" magufuri said: yawezekana hao walio salia nao ndo mda wai huo wakuondoka na kufuata wenzao waachen wandoke bhana
Kuna mafisadi wamebaki ccm? Ni kina nani hao?
wanafiki wote mmepigwa chenga ya mwili kudadeki ! subiri taarifa za magazeti kesho .Kulikoni hiyo breaking news ya Toroka uje ya Bahari beach leo??