mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!
haya ndugu wapi mwigulu?wapi team kampeni tuliyoambiwa?ndo ujue huko kimenuka.mafunguo anadai risiti kwa kila kitu.vijana wamegoma.Hakuna kitu kama hicho isipokuwa kilichopo ni kuwa Ukawa kuna mgogoro unatokota na soon kuna kitu kitalipuka. Wengi mtakuwa mmeobserve ukimya uliopo huko karibuni, sasa hii rumour itakuwa ni tactic ya kutuzubaisha wakati wakijaribu kufunikafunika uozo unaosambaa. Mtakuja kuniambia.
Sasa CCM Itakuwaje ile ile wakati watu wanaondoka?
Mjiandae kuwafuata KANU na upc
vipi aliyeomba kura za wasukuma sio UKABILA HUO MKUU:llama::llama::flame::flame::flame::flame::hail::hail::hail:Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!
Ndio mlichozoea hicho kuwagawa watz kwa dini zao, ubara na visiwani na makabila. Sasa huo udini umetokea wapi hapa? Ila mwaka huu ni Kufa kwa nyani......
Hao waliobaki ndo waluouza loliondo,wamekufanya una elimu duni kingereza hujui japo unajiita msomi,wamesomba ela za escrow kwa magunia,wameuwa viwanda na mashirika yote nchini,nk. Hivyo Endelea kubaki usingizini ukija kumbuka shuka kumekuchwaitabaki ile ile yenye misingi ya baba wa taifa maana wanaoondoka ni WATU WACHAFU, MAJIZI, MAFISADI, MAJAMBAZI , WANAOJINYEA NA WASIO WAADILIFU, ivo watakaobaki ni wale WENYE AKILI TIMAMU, WAADILIFU, WAAMINIFU, WENYE HOFU YA MUNGU KWA KUWA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU. nadhani umeelewa sasa dogo
Kuzomewa ni ishara ya kutokubalika.kama wewe unampenda Magufuli mpeleke nyumbani kwako ukanywe naye chai sisi hatutaki Magufuli wala makomeo
Hao waliobaki ndo waluouza loliondo,wamekufanya una elimu duni kingereza hujui japo unajiita msomi,wamesomba ela za escrow kwa magunia,wameuwa viwanda na mashirika yote nchini,nk. Hivyo Endelea kubaki usingizini ukija kumbuka shuka kumekuchwa
Bora kumpa kura Mtikila na sio Lowassa.
sina muda wa kupoteza na m**f* wameshiba viroba na ganja hawana muda wa kutafakari,wanafikiri kwa kutumia mdomo!.CHAGUA MAGUFULI kama unataka TANZANIA bora!