Bundi!!,bundi!!,bundi!!,bundi!!

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,098
Reaction score
1,176
Habari zenu wote kwa mpigo.
Nina vifaranga vya bundi 38.viko kwenye hali ya kutia hamu ya kununua.
Naviuza kwa bei nafuu.mwenye kuhitaji anitafute kwenye google.
 
Habari zenu wote kwa mpigo.
Nina vifaranga vya bundi 38.viko kwenye hali ya kutia hamu ya kununua.
Naviuza kwa bei nafuu.mwenye kuhitaji anitafute kwenye google.

Nime-google nikakuta kumbe Bundi ni mji uko huko Rajastan-India. Lakini nahitaji hivyo vijibundi!
 
Bundi wa nyama au wa mayai?...me nataka wa nyama.🙂
 
vinafaa tukavifugie ikulu.
 
Mi namuhitaji bundi kama pet bird!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…