Bundi atua tena CHADEMA: Ally Kisala ang'olewa madarakani kwa tuhuma za usaliti

Status
Not open for further replies.

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
887
965
Bundi atua tena Chadema.

Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala.

Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu.

Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.

Mbowe ndiye aliyeagiza Kisala aondolewe kwa tuhuma za usaliti kwa Chama.

Bila Shaka kila Mwana chadema ni Msaliti isipo Kuwa Wenye Chama.
Na bado.

=================
Updates;

Habari hii imekanushwa. Ili kusoma kanusho, bonyeza HAPA
 
Bundi atua tena Chadema.

Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala.

Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu.

Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.

Mbowe ndiye aliyeagiza Kisala aondolewe kwa tuhuma za usaliti kwa Chama.

Bila Shaka kila Mwana chadema ni Msaliti isipo Kuwa Wenye Chama.
Na bado.

Kama ni kweli safi sana,hata akibaki Mbowe peke yake Chadema sisi wananchi tuliochoka na usaliti huu wa kukwamisha mabadiliko tutamchagua ili mradi yeye si msaliti.
 
Ni rahisi kwa uongozi wa CHADEMA-Taifa kumvumilia mwanachama yeyote asiye mwanakigoma kama ilivyo kwa Shibuda, Arfi na Leticia Nyerere pale inapotokea ametofautiana kimtazamo au kimsimamo na uongozi wa chama lakini hali ni tofauti kabisa kwa mwanachama anayetokea mkoa wa kigoma(rejea Aman Kabourou, Moses Machali,David Kafulila na Zitto Kabwe) huwa ni vigumu kabisa kwa wao kuvumiliwa ndani ya CHADEMA kwani huishia kutimuliwa uanachama wao. Tuelezwe kwa uwazi na ukweli sababu ya treatment tofauti kwa wanakigoma ndani ya chama.
 
Hivi Mbowe ni nani ndani ya Chadema,kwanini neno usaliti linatumika vibaya?

Kwaakili zake kila atakae mkosoa atabatizwa msaliti ili kumshughulikia huku makamanda wakishangilia
 
Wangekuwa wakiwafukuza wanawa Kagenzi kabisa maana mijitu inadharau taasisi za watu binafsi
 
Chadema imesambaratishwa na Mbowe kutikana na kijifanya mwanachama daraja la kwanza.

Mbowe huenda ni TISS aliopo Chadema kuhakikisha kinaishia kuwa chama cha upinzani.
 
Tena badala ya kuishia kuwatimua wangekuwa wanawa Kagenzi kabisa maana hawa waha hawajui tofauti ya chama na asasi binafsi.
 
Huko Arusha nako kumeweka moto. Nilimsikiliza Lema juzi Star TV sikuamini kama ni yeye. Lema amekuwa mtu wa kukimbilia polisi. Vijana hawamtaki Arusha. Kazi ipo
 
Ni rahisi kwa uongozi wa CHADEMA-Taifa kumvumilia mwanachama yeyote asiye mwanakigoma kama ilivyo kwa Shibuda, Arfi na Leticia Nyerere pale inapotokea ametofautiana kimtazamo au kimsimamo na uongozi wa chama lakini hali ni tofauti kabisa kwa mwanachama anayetokea mkoa wa kigoma(rejea Aman Kabourou, Moses Machali,David Kafulila na Zitto Kabwe) huwa ni vigumu kabisa kwa wao kuvumiliwa ndani ya CHADEMA kwani huishia kutimuliwa uanachama wao. Tuelezwe kwa uwazi na ukweli sababu ya treatment tofauti kwa wanakigoma ndani ya chama.

Hata mimi huwa najiuliza kwa nini CCM humfukuza haraka mwanachama wake wa Zanzibar kuliko wa Tanganyika!!!!!!!!.
 
Hivi Mbowe ni nani ndani ya Chadema,kwanini neno usaliti linatumika vibaya?

Kwaakili zake kila atakae mkosoa atabatizwa msaliti ili kumshughulikia huku makamanda wakishangilia
Fikiria kabla hujaandika. Hadi hatua kama hiyo inafikiwa lazima ujue Mbowe ameshashauriwa na juniors wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom