Bunda, Mara katika picha

Haaa nmetoka hapo, nilikuwa naishi Bunda stoo😛😛😛😛😛😛

Soko la jioni, nawakumbuka samaki wabichi tu hapo, nishawamisi sana yaani
 
Haaa nmetoka hapo, nilikuwa naishi Bunda stoo😛😛😛😛😛😛

Soko la jioni, nawakumbuka samaki wabichi tu hapo, nishawamisi sana
Hahaha sawa mkuu, mimi pia wakati nipo huko nilikua mdau mzuri wa genge la jioni
 
pamoja sana kiongozi, Bunda pako vizuri sana kwa kula samaki wabichi...yaani unawakuta wanahema ...ukimkata anaruka duh!!!
 
Hahahahha samaki wa v wonder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…