Bumu la mwisho

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Aisee wale vijana ambao ni Finalist nawakumbusha hili ndo Bumu la mwisho kwenu pengine labda hutakuja kuingiziwa Kiasi cha 500K kwenye acc yako ndani ya Miaka mitano ijayo...!! Kama huna hata geto ndo muda wa kurudisha mpira kwa kipaa.. Mapambano Mema vijana mjiandae kuja Mtaani.


Huku ni connection tu unamjua nani sio GPA tena[emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata kama una geto hapa mjini kama hunaconnection, bora tu urudi home

Kodi itakulemea mpaka mwisho
 
Acha kutisha watu wewe,bado GPA ina umuhimu sehemu flani flani,mimi nilimaliza UDSM na ka GPA kangu ka kimini(kadogo),ila wenzangu waliopata GPA kubwa walikuja kutafutwa na benki fulani kubwa
 
Geto aanze kufukuzia mademu akakae kwanza nyumbani mpaka matokeo ya kuhitimu yatoke aone anafanyaje wengine hutumia mageto kujifilisi kutumia uwanja huo kufukuzia wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…