Bulk SMS service in Tanzania

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
138
Tunatumia bulk SMS service kutoka kwa mdau mmoja TZ(jina linahifadhiwa) kutuma SMS kutoka kwenye software yetu kwenda kwa wateja wetu.

Kwa bahati mbaya kumekuwa na delay kuubwa sana (>2 minutes) kwa mteja kupokea SMS ambayo tulitegemea awe ameipata ndani ya sekunde 45 hadi 60 hivi.

Naomba ushauri wa kitaalamu kutoka kwenu wadau.
 
Umewasiliana naye kujua sababu ya Delay?SLA yenu inataja muda gani?Anatumia mfumo gani kufanya relay?
 
Umewasiliana naye kujua sababu ya Delay?SLA yenu inataja muda gani?Anatumia mfumo gani kufanya relay?
1. Nimewasiliana naye mara kwa mara hana jibu sahihi
2.Hakuna SLA yeyote
3.Hajatoa low level details kama hizo. Techinally, katupa API spec doc then sisi tuna call API kutuma SMS basi.
 
kama sio za special numbers ( ie : 1555, 1788) kwanini usiwe na simu (app) kama gateway ku relay server na mpokeaji (sms) ?
 
kama sio za special numbers ( ie : 1555, 1788) kwanini usiwe na simu (app) kama gateway ku relay server na mpokeaji (sms) ?

Sijataka kupoteza muda kufanya kitu ambacho kipo tayari.

Wao wana service & API tayari kwaajili ya sisi kutumia.

Changamoto ni delay kuwa kuuubwa
 
Sijataka kupoteza muda kufanya kitu ambacho kipo tayari.

Wao wana service & API tayari kwaajili ya sisi kutumia.

Changamoto ni delay kuwa kuuubwa
Inawezekana anatumia mfumo ambao ama uko slow ama system unayotumia wewe ndio inaweza kuwa slow kwa sababa API calls huwa zinategemea connectevity za pande mbili.Mwanzoni mwa huduma spidi ilikuaje ukulinganisha na wakati huu?
 
Mwanzoni ilikuwa vizuri kuliko sasa.

Pia tume notice kwamba SMS tunazotuma kwa wapokeaji ambao wanatumia Mobile Operator X (siweki jina la Operator hadharani) zinafika haraka zaidi, kuliko Operators wengine.
 
Vizuri kwa kuanza fanya hivi:

Wape hao jamaa wanaokupatia hio huduma mrejesho kuhusu tofauti ya ufukishaji wa wa ujumbe.Pili anagalia kwenye API walizokupati ili ufahamu namna wanavyopokea na kufanya calls.Na uwaambie na wao waangalie gate way yao kwa upande wa kutuma.Kuna uwezekano either kuwa na Jamming kwenye gate way yao kulingana na idadi ya message mnazotuma kwenda mitandao mingine tofauti na huo X kwani gateway nyingi huwa zinakuwa na idadi ya MSG za kutuma per second na iwapo katika utumaji zinazidi badi kuna uwezekano wa overload.Ingawa pia interval kati ya consecutive message inaweza pia kuwa na madhara ya jamming.

All in all nafikiri hilo ni swala ambalo wanaweza kabisa kulitatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…