MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Moja ya sifa kuu ya mbwa koko ni kupiga kelele ukipita kwao.Arusha ni ya kila mmoja acheni mikwara ya kitoto.
Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.
Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.
Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.
"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."
Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yatakayojiri kutoka hapa Mkoani........
Siasa hizi bana
hilo ndilo tatizo la vijana kama nyinyi kukubali kufungwa mota na wafalme wenu,kuna kosa gani vick kamata kukutana na wajumbe wa ccm? Nyinyi kama ni chadema si muendelee na mambo yenu? Kwa nini husimtafute vick umpige mkwara unakuja kwenye mitandao
Viva Pinda na yeyote anayetaka poa cha msingi mwenye sifa hiyo apewe na mm naamini Pinda anazosifa nyingi za kugombea Urais.. ya vyama vyao yanawashinda wanakimbilia kwa jirani.. au mnamuogopa Pinda mbna akina Lowasa anayafanya sana hayo hamsemi mnahofika kupigiwa kampeni Pinda sinkwakua mnamuhofia akishika mmekwisha.