Hahahaha!!!Binti yake vijana wa ukawa walimdunga mimba
Binafsi nimefurahika sanaBinti yake vijana wa ukawa walimdunga mimba
Ohh ho! Kazi kweli kweli!Binti yake vijana wa ukawa walimdunga mimba
Binafsi nimefurahika sana
Sasa mbona anahubiri nafasi moja ya uongozi? Au amesahau kuwa yeye anazo zaidi ya moja? Na huyo mwenyekiti wake mwenye vyeo lukuki alivyokuwa anauaznisha mfumo huo alijisahau?Yeye mwenyewe anahunir mtu mmoja atakuje mbunge /mwenyekiti wa wazazi na katibu mkuu??
WiFi mkuuHahahaha umepata WiFi au Shemeji!
Bulembo ni wa pili kutoka kwa Bashite.
WiFi mkuu
Nilikuwa Lumumba last week kuna kijana mmoja alilalamika sana kitendo cha mnyange huyo kuzimika kwa mpinzani mpaka kubeba mimba,
Alilaani na analaani sana kitendo hicho, anadai ccm kuna vijana wengi wasomi na wenye pesa iweje ? Nilicheka sana
Hakika nimefurahi, namshauri akijifungua tu, baada ya 40 abebe nyingine
Kinana yupo anafanya kazi zake.CCM ni chama chenye taratibu zake,Bulembo ni mwenyekiti wa wazazi anazunguka kuimarisha jumuiya ya wazazi kwa ajili ya chaguzi za serikali ya mitaa 2019,nyie endeleeni tu na siasa za matukioTangu Katibu Mkuu wa CCM
'alipotumwa' kwenda kutibiwa India, naona ameshindwa kujitokeza hadharani ukiondoa siku ya mazishi ya watoto wa Luck Vincent Arusha tu.
Enzi za Kikwete, Kinana alikuwa active na akizunguka mikoani kuimarisha chama.
Lakini siku hizi nafasi imechukuliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa wazazi Abdallah Bulembo (MB) anayefanya ziara mikoani na kutoa maamuzi mazitozito.
Ziara za Bulembo zinapewa uzito kuliko hata Naibu Katibu Mkuu Bara, Mpogoro ambaye hata hasikiki.
Kwanini Bulembo anapewa uzito hivyo wakati hayumo hata kwenye sekretarieti? Je, Kinana amepigwa chini kimyakimya? Au amesusa?
Nawasilisha.
Siasa za ccm kwa sasa ni km ugonjwa wa kansa,Duh!Hivi mapenzi yana Chama ndugu.Ngoja tusubiri Wifi ajifungue tumpelekee zawadi.
Mkuu hili swali kwanini usingeliuliza kwenye vikao vya chama?..huu ni utovu wa nidhamu!
Haitatokea hata kwa dawaKaribu atampita.