Hakutowa kashfa alitoa UKweli Lowasa anatakiwa kwenda hospitali sio Ikulu.Na kumtendea haki inabidi anyimwe kura ili apate muda wa kujitibia.Mlitakiwa mumuzomee Lowasa kwa kumwambia katibiwe,katibiwe,katibiwe badala ya kumzomea Bulembo.
CHADEMA hamna huruma na mgonjwa Lowasa mnamtembeza kwenye majukwaa hivi CHADEMA mkishika nchi mtahurumia wagonjwa kweli? Kama mumeshindwa kuhurumia mgonjwa Lowasa itakuwaje kwa watu wa kawaida? Si mtawafanyisha kazi hata kama wako ICU.
CHADEMA kitendo tu cha kumfanyisha kazi mgonjwa Lowasa na kumtembeza mgonjwa yule ni laana tosha ya CHADEMA kunyimwa kura kuanzia udiwani,ubunge hadi uraisi.
CCM walimkata kwa kumhurumia kuwa apate muda wa kujitibia kwani kina huruma na afya yake CHADEMA hamna huruma na afya ya Lowasa sio siri.Mwenyezi Mungu awalaani CHADEMA usiku na mchana kwa kutokuwa na huruma na mgonjwa Lowassa.
Hiyo zomea zomea mliyoanza CCM ikianza msije piga yowe