johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Pamoja na figisufigisu zote aalizoletewa na "babu" ameendelea kuimarika hajatetereka hata chembe.Hongera easther wanawake mkiamua mnaweza kuturudisha maporini huko vijijini.Endelea kusimamia maendeleo ya wanabunda ili iwe mfano kwa wabunge wengine waliotelekeza majimbo yao ilhali hawazongwizongwi na lolote kama yule babu akufanyiavyo.Hapa Dar tumeshasahau habari za wabunge labda wao ni wa kitaifa.Ni yule Mwita wa ukonga na Ndugulile wa kigamboni ndio walau tunawaona.Mungu akubariki Bulaya.