Bukombe na JK

mbona sioni kitu au macho yangu yameshachakachuliwa?
 
CCM wabaya hata picha wanazichakachua!
 
Karibu mkuu ingawa imepitia mlango wa uani bila kubisha hodi!
 
Majaga weka picha hapa kama huwezi omba msaada.
 
hali ndo ilivyokuwa kama mnavyoona vidole viwili
Aisee
nimeona picha inavutia kweli hiyo style ya vidole viwili.... teh teh

Weka picha we kijana. hatuoni kitu
 
Kwani ilikuwaje bukombe mbona hamna kitu hapo.......................review ur thread pls
 
Wamechakachua yanii ninazo mpaka video wadau za wana bukombe wakinyanyua vidole viwili kwa JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…