Bukoba ni wilaya au mkoa?

Hili swali tusubiri wale waliotafuna Pesa za RAMBI RAMBI, maana wao ndio wanamajibu sahihi.
 
Jamani..........hadi hii??
Ukipata jibu la hilo swali tafuta na hii.............Moshi na Kilimanjaro......Sumbawanga na Rukwa upi ni mkoa na ipi ni wilaya.
 
Mkoa unaitwa Kagera, Bukoba ni wilaya, Kuna wilaya ya Bukoba mjini na wilaya ya Bukoba vijijini.
Pia ni kama Mkoa wa Kilimanjaro, ambao pia Moshi ni wilaya.
Pia ni kama Mkoa wa Mara ambao pia Musoma ni wilaya.
 
Jamani..........hadi hii??
Ukipata jibu la hilo swali tafuta na hii.............Moshi na Kilimanjaro......Sumbawanga na Rukwa upi ni mkoa na ipi ni wilaya.
Umemsaidia kuuliza mkuu ili asije kusumbua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…