Wadau naomba mnisaidie katika hili BUKOBA NA KAGERA UPI MKOA?
Umemsaidia kuuliza mkuu ili asije kusumbua tenaJamani..........hadi hii??
Ukipata jibu la hilo swali tafuta na hii.............Moshi na Kilimanjaro......Sumbawanga na Rukwa upi ni mkoa na ipi ni wilaya.