Hapana kwakweli. Bishanga unafwaidi jamani. Mkaribishemo na Mlokozi mufwaidi wote.
Angalia siku yenyewe kinaadhimishwa nini? Na unakumbuka kale ka ugonjwa ka juliana kalianzia mkoa upi? Kazi ni kwako usijesema nakuonea wivu. Ponda raha kufa kwaja Bishanga! Vunja mifupa wakati meno unayo mkubwa MM. Nimemaliza.
maneno ya mkosaji,ushawahi kukutana toto la kihaya original,ghodoro shurti lifunikwe kwa plastic,chezeiya wewe kina KOKUTONA!Angalia siku yenyewe kinaadhimishwa nini? Na unakumbuka kale ka ugonjwa ka juliana kalianzia mkoa upi? Kazi ni kwako usijesema nakuonea wivu. Ponda raha kufa kwaja Bishanga! Vunja mifupa wakati meno unayo mkubwa MM. Nimemaliza.
acheni hizo,bishanga akiponda raha maneni kibaaaaao,mbona hamumsemi Chimbuvu anayebadili wanawake kama mashati,tena umenikumbusha,ana tuhuma huyu ngoja nikamfungulie uzi fasta,title 'inauma sana'.Mgeni ameingiaaaaaaaa.....mgeniii...mgeniii...Kikapten komba zaidi...
Parapandaaa....parapandaa italiiaaa...parapandaa...ndugu yetu Bishangaa..atakuwaa amekwisha ....
0714. search...... 0718..... Oooopsss not fout at bukoba, pls try at Mombasa or Dar es salaam.wazushi hao sister,achana nao,eibuba libali kubi.
hivi nnaongea niko bukoba club,toto la kihaya toka muleba ( omuhamba kazi) ,guu la chupa ya bia,shepu ya kuua mtu,macho utadhani limekula kungu,nido sa sita mchana,sauti whitney yuston,pembeni limepaki rav4,Mungu ampe nini bishanga,jamani wachitchat njooni mniokoe raha zimenipalia koo,halafu mtoto ananitishia kuniua kwa maraha leo,anasema nijiandae kwa style ya full service,mtoto wa kiume unalala chali mrembo anajipakulia,uuuuuuuuuwi bishanga nafwa kwa maraha!