Buji Banton

Yupo anasota gerezani Miami. Nilimwona laivu kipindi fulani. Alikuwa vizuri.
 
Hook like a champion, destiny, hill and valleys, African woman dah kizazi cha ragga hakipo tena
*******Destiny*******


The rich man's wealth is in the city. yeah
Destruction of the poor is his poverty. Lord Destruction of your soul is vanity. yeah, ay, yeah
Do you hear.
I and I, I wanna rule my destiny. yeah I and I,
I wanna rule my destiny.
 
Madawa ama ugomvi?
Japo ni nje ya mada ulianza ugomvi yakapandiziwa madawa.

Inasemekana Buju Banton ni miongoni mwa wanamuziki wanaopinga ushoga.

Alitumia sanaa ya muziki kukemea tabia hiyo chafu, kitendo kilichopingana na "New World Order"
Ndipo ukasukwa mpango mahsusi kumuondoa kwenye ramani ya muziki kwa kumpa kesi ya madawa ya kulevya.

Anatarajiwa kutoka gerezani 2018.

Msimamo wa kupinga ushoga ndio umempoteza Shabba Ranks kwenye game.
Mchezo uliratibiwa na recording labels.

Miongoni mwa nyimbo zinazo kandia ushoga za Buju ni "Boom bye bye"

Naupenda wimbo wa Shabba Ranks uitwao "Will power"
 
Jamaa akifanya mapinduzi makubwa sana kutoka kwenye ragga za kina Shabba Ranks, Mad Cobra, Red Rat etc ambao walikuwa wanaimba ngono na pombe, Buju Banton akaanza kuimba nyimbo zenye ujumbe mzito kwa mamii zinazogusa uchungu na ugumu wa maisha ya kila siku.
Pepo mchafu akamvagaa, tamaa ya pesa ikamuingiza kwenye biashara haramu ya unga.
Akaishia jela
 
Buju Banton Sentence Reduced Will Leave Prison Early
Buju Banton will be getting out of prison a little earlier than previously expected. U.S. authorities have reduced his prison sentence by a mere two months.
While two months may not seems as much to us all, for Buju that is a big deal because that is two months earlier that he will get to be with his family.
Buju Banton On Why He Gave Up And Decides To Serve Full Sentence
Banton, whose real name is Mark Myrie, is currently serving a 10-year sentence in the McRae correctional institution in Atlanta. He is expected to be released in February 2019. With this new development he could be out of prison as early as December 2018.
Last year Buju Banton reached an agreement with the US Attorney Office in Florida where he waived all rights to future appeal in return for them dropping a gun charge.
Banton was found guilty on three counts of drug trafficking charges in 2011. He was arrested at a warehouse in South Florida in December 2009 in a drug sting operation.
Tags: Buju Banton
 
Ndo maana nina chuki ya kindakindaki isiyoisha na hii kabila ngozi ya kitimoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…