BUILDING DESIGN KWA GHARAMA NAFUU

Ila nikweli. Maana unakuta nyumba bati zimeinuka saana. Mara zimepinda pinda zimekatwa zimeungwa ungwa.

Wataalam wanatikiwa watufunishe saana hizi modern designs
Angalia picha alizoweka hapo juu, madirisha yote makubwa, halafu lazima iwe colorful
 
Kama inawezekana naomba picha kuanzia fundi anaanza mpaka mwisho, nimeipenda sana upauaji wa namna hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…