raman za nyumba
Member
- Aug 4, 2018
- 34
- 20
Hujasoma kaandika Hidden Roof!Mbona sioni bati..!
Nimejenga hio design 'Hidden Roof' gharama za kila kitu kuezeka hazifikii hata gharama ya mbao tu kama ningeezeka kwa mtindo wa kawaida.(Price 200-150k)
NEW DESIGN FOR ROOFING
KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF,
HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)
HAIVUJI 100% GURATEE KAMA ITAJENGWA KIUFASAHA
KARIBU KUPATA RAMANI KWA BEI NAFUU
KARIBU TUKUJENGEE PIA
NAMBA YA KUPIGA SIMU/ whatsup +255624004650View attachment 927957View attachment 927958View attachment 927959View attachment 927961
Ni fupi mno.Hujasoma kaandika Hidden Roof!
Kawaida tu. Nyumba ya kawaida baada ya linta zinapanda tofali tatu, design hii zinapanda tofali 5-6 roof inakaa ndani ya hizo tofali.Ni fupi mno.
Kinachoongezeka kwenye hii ni kozi tatu za matofali ila mbao unatumia robo ya roof ya kawaida,mabati nusu ya roof ya kawaida. Nafikiri unajua gharama ya mbao.Local engineer wangu amesema hivyo ni gharama zaid ya normal roofing. Maybe ungetuwkea cost analysis tufanye comparisons
Yea kabsaaaKinachoongezeka kwenye hii ni kozi tatu za matofali ila mbao unatumia robo ya roof ya kawaida,mabati nusu ya roof ya kawaida. Nafikiri unajua gharama ya mbao.
Na ule upauaji wetu wanaweka mabati desing kama yamesimama hivi ili kupunguza joto. Vip huu kwa huu mji wa bashite?Kinachoongezeka kwenye hii ni kozi tatu za matofali ila mbao unatumia robo ya roof ya kawaida,mabati nusu ya roof ya kawaida. Nafikiri unajua gharama ya mbao.
Yeye kajua ni zege labdaLocal engineer wangu amesema hivyo ni gharama zaid ya normal roofing. Maybe ungetuwkea cost analysis tufanye comparisons
That is the truth, kwenye ramani zinaonekana vizuri sana ila gharama ya maintenance ni kubwaLocal engineer wangu amesema hivyo ni gharama zaid ya normal roofing. Maybe ungetuwkea cost analysis tufanye comparisons
Hapana cyo fupiiiNi fupi mno.
Ule upauaji ni kufuata mkumbo tu. Kwa joto inabidi uweke madirisha makubwa, ukiweza AC lakini si tatizo sana gypsum inasaidia kupunguza jotoNa ule upauaji wetu wanaweka mabati desing kama yamesimama hivi ili kupunguza joto. Vip huu kwa huu mji wa bashite?
Maeneo ninayokaa nimeziona nne.Architects kazi tunayo. Wananchi wanabadilika polepole mno. Hadi waelewe Contemporary designs itachukua muda sana.
Ila nikweli. Maana unakuta nyumba bati zimeinuka saana. Mara zimepinda pinda zimekatwa zimeungwa ungwa.Ule upauaji ni kufuata mkumbo tu. Kwa joto inabidi uweke madirisha makubwa, ukiweza AC lakini si tatizo sana gypsum inasaidia kupunguza joto
[emoji2]kma umependa unampa kazi anakufanyiaIla nikweli. Maana unakuta nyumba bati zimeinuka saana. Mara zimepinda pinda zimekatwa zimeungwa ungwa.
Wataalam wanatikiwa watufunishe saana hizi modern designs