Wazungu wanaitaka nchi yao, Wazungu nawapendea hapa tu, wanajitambua sana hawataki ushenzi na siyo kama sisi mgeni ndiyo Mungu halafu sisi ndiyo vijakazi kwenye nchi yetu wenyewe!
Tanzania Wahindi, Waarabu, Wazungu hawafikii hata 1% lkn ndiyo wanamiliki zaidi ya 85% ya uchumi wa Tanzania, tena mpaka matangazo ya kazi wanasema wanatufuta mtu wa Asian origin ndani ya TZ!