LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 633
Yaani mmetutoza application fee kubwa 30,000/=. Then mnasema after malipo tu upload bank slip kwenye system yenu ndo mta activate account zetu. Tumefanya hivyo bado account hazifunguki. Hela yetu imeliwa na hakuna tulicho ambulia. Mmeweka namba za simu kwenye website yenu tukipiga hampokei na mkipokea mnarushiana mpira,anayepokea simu anakupa namba ya mtu mwingine naye ukimpata anakurudisha kwa yule wa mwanzo. Yaani tumeumia sana. Bora tcu waendelee kudahili maana naona hali hii haitatufikisha popote.