Bugando medical centre-Mwanza

Ramos Jr

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
44
Reaction score
10
Mwenye taarifa za kuitwa interview kwa kazi walizotangaza july mwaka huu atujuze. Nawasilisha
 
Wajinga wale, hizo kazi walitangaza mwezi wa 3, tukaapply, hawakuita mtu, wamerudia tena kuzitangaza mwezi wa 7, ina maana kipindi kile hawakupata watu wenye sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…