Budject ya serekali

Budject ya serekali

mabungo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Habari JF Members.
Nimefuuatilia budget ya serekali iliyosomwa leo jioni nini maoni yako kuhusu budget hii? Naona kama inaenda kufanya maisha ya walalahoi kuzidi kuwa nguvu hasa ukizingatia kupanda kwa gharama za mafuta? Wewe unasemaje?
Karibu.
 
Hii bajeti itakua mwiba sana kwa watu wenye kipato cha chini kwani zile sehemu za mahitaji muhimu ndiko walipobana ili kukidhi pato la taifa
 
Back
Top Bottom