Budget Resort
Member
- Mar 24, 2017
- 27
- 12
Mandhari nzuri na sherehe nzuri.Karibu Budget hall leo utengeneze historia nyingine katika maisha yako,ukumbi unafaa kwa seherehe,mikutano,tamasha na shughuli yoyote unapokea hadi watu 500 na ukumbi ni full AC pia sehemu ya maegesho ya magari ni kubwa na ya kutosha karibu leo wasiliana nasi sasa utengeneze historia pamoja nasi.Ukumbi unapatikana Bahari beach.