Mr. Politician
Member
- May 16, 2008
- 74
- 7
Kama uko Maeneo ya Kinondoni studio tafuta Bar moja inaitwa kwa mama pita kama, ni jirani na Ananasif shuleni.
Kama uko mkwajuni nenda pale maeneo ya CCM utapata.
Umeniwai nlikuaNenda mbezi lous kituo cha kwanza kutoka mbezi mwisho kinaitwa kibanda cha mkaa karibu na kanisa la kkkt uliza hapo utakwakuta wanachinja na kuuza aka butcher
Umeniwai nlikua nataka kumuelekeza hapo hapo .Nenda mbezi lous kituo cha kwanza kutoka mbezi mwisho kinaitwa kibanda cha mkaa karibu na kanisa la kkkt uliza hapo utakwakuta wanachinja na kuuza aka butcher
huu sasa uchokozi,ni kweli unaulizia 'chair fire humu"?Habari ya jumapili wadau,
Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni.
Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua imekaa muda mrefu.
MKUU ULIFANIKIWA?Habari ya jumapili wadau,
Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni.
Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua imekaa muda mrefu.