Sijaelewa bado mpaka muda huu. Mwalimu mtu ambae anafikisha na kuwezesha maarifa kwa mwanafunzi na ubora wake ni maarifa aliyonayo na jinsi na utaalamu wa kuyafikisha kwa mwanafunzi. Vipi kuhusu mwaka huuu walimu tutaopata mana kipimo cha mtihani ni dhaifu, mtu aweza kariri. Then baadae tuseme Tanzania hatuna walimu bora duu. Where are u my dear BTP kipimo sahihi cha mwalimu.