Bongoclever
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 105
- 11
habari?
Kwa wale wanachuo wa vyuo vya ualimu vip kuhusu tetesi za kwenda B.T.P(Field)?
Kwa wale wanachuo wa vyuo vya ualimu vip kuhusu tetesi za kwenda B.T.P(Field)?
mwaka wa pili btp ya nini unang'ang'ania muda umeisha pepa mwezi wa tano.
BTP ni kwa certficate na diplama ila sisi waheshimiwa tunaita TP (teaching practce ) kwa walioshindwa mambo yan diploma wanaongeza ka B