Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, nina asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya law hapo UDSM kwa hiyo one ya point 8... Nishaa apply tayar hapo hiyo kozi ya Law