Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 526
- 1,295
Mlimani, bruh MadDogo aishi humo humo. Campus ya DUCE au kule juu?
Dogo hajapiga A level amepitia Dip, sasa kapata zali la mlimani BSc with Education vip msuli ataumudu kweli?Dogo aishi humo humo. Campus ya DUCE au kule juu?
Pole sana mkuu, kama hutojali ungefunguka kidogo.Chuo cha kidwanzi Sana kimenifanya nigraduate na ulemavu..
Education iko Duce na sio ConasKwa udsm ni ngumu sana kuhama kozi za education kuhamia hizo zingine hasa kama hiyo ya hr uliyoisema.
Education in science ni kozi nzuri tu, ajira zake zipo za kumwaga tu,sema ajiandae kwa misuli mirefu sababu masomo mengi yako CONAS huko na huko conas ni pagumu as wana kitu inaitwa departmental GPA.wengi huwa wanafeli
duh, zali tenakapata zali
Nadhani hujaelewa,main campus pale kuna bachelor of science in education ambazo zile units zao zinazohusu science husika from Biology, chemistry au physics huwa ziko CONAS.Education iko Duce na sio Conas
Sawa sawa chief kyagata umeelewekaKwa udsm ni ngumu sana kuhama kozi za education kuhamia hizo zingine hasa kama hiyo ya hr uliyoisema.
Education in science ni kozi nzuri tu, ajira zake zipo za kumwaga tu,sema ajiandae kwa misuli mirefu sababu masomo mengi yako CONAS huko na huko conas ni pagumu as wana kitu inaitwa departmental GPA.wengi huwa wanafeli
Pole kaka kwan ilikuajeChuo cha kidwanzi Sana kimenifanya nigraduate na ulemavu..
Atatusua for sure. Kikubwa focus.Dogo hajapiga A level amepitia Dip, sasa kapata zali la mlimani BSc with Education vip msuli ataumudu kweli?
Huu ni mwaka 2022, kwanini unasoma Education?Dogo hajapiga A level amepitia Dip, sasa kapata zali la mlimani BSc with Education vip msuli ataumudu kweli?