Wadau msaada kwa anayejua aisee, japokuwa kwenye prospectus zile modules zake ni kama computer science nilivyo ona mimi, ila tunataka zaidi uelewa msaada wanajanvi haswa waliyosoma hii programme.