Hii kozi kwa nchi yetu bado haijakaa vema katika soko la ajira unless una interest ya kuwa lecturer. bora usome applied sciences i.e. Engineering. Frankly speaking, kuna mtu wangu aliperform vizuri saaana A-levels akachaguliwa kusoma kozi hii, lakini after graduation alilost sana mpaka alipoamua kwenda kusomea masuala ya computer kwa level ya masters ndio kaanza kupata michongo mtaani. mimi simshauri mtu asome hii kozi kwa matarajio ya ajira bongo!!!