Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
Kwa vyuo vyetu, hizi kozi, zinatengenezwa sio, kwa vile kuna uhitaji sokoni,vinatafuta pesa ya kulipia mishahara na, uendeshaji, kama gengeni vile, ulikuwa unauza kitunguu, sasa unaweka na pilipili kuvutia wateja