R robotics Senior Member Joined Sep 30, 2017 Posts 171 Reaction score 128 Mar 20, 2019 #21 MOSHIFST said: Quality assurance officer and managers katika makampuni makubwa ya vyakula na vinywaji hapa tanzania wajamaa ndo wanashikilia usukani,wakija na watu wa microbiology,na chemistry kutoka UDSM Click to expand... Duuuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
MOSHIFST said: Quality assurance officer and managers katika makampuni makubwa ya vyakula na vinywaji hapa tanzania wajamaa ndo wanashikilia usukani,wakija na watu wa microbiology,na chemistry kutoka UDSM Click to expand... Duuuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,049 Mar 20, 2019 #22 Kozi hii kimeo jamaa wamesota tangu wamalze pale sua 2012, sahv mmoja ni mhudumu wa hotel moja ya kitalii pale nashera moro. Kwakwel inasikitisha
Kozi hii kimeo jamaa wamesota tangu wamalze pale sua 2012, sahv mmoja ni mhudumu wa hotel moja ya kitalii pale nashera moro. Kwakwel inasikitisha