BSC. EEP

Dans B

Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
10
Reaction score
6
Wakuu habari.
Mwenye uelewa kuhusu degree ya Art in environmental economics and policy
Naomba anfahamishe tafadhar inahus zaid nn ?,na baada ya kuwa nayo matumiz yake makubwa ni yapi?
 
HV unajua maana ya BSc au unajiandikia tu

INGEKUA VZR ZAID KUNISAIDIA KATKA SEHEM NLOOMBA KWANZA MWSHON NDO UNIKOSOE... KULIKO KUNIKOSOA BILA KUNSAIDIA WAKAT SWALI LIMEELEWEKA..Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…