Bsc Agricultural economics and agribusiness

IPO vizuri tu. Vijana wengi waliosoma pale sua hiyo kozi ni maafisa mikopo crdb, nmb, NBC!
 
anafursa kubwa ya kujiajiri hapo baadaye.najua atasoma kwa raha kwa sababu mkopo atapata zaidi ya 90%
 
Mkuu naona kila kitu ni wewe...aliyemaliza agribusiness anaomba ushauri wa kutaka kusoma CPA wewe....mwenye mtoto anayeenda kusoma agribusiness sua ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…