Nani wakali kati ya wasichana ambao ni brunettes na blondes....nimejaribu kuweka picha chache za celebrities ambao ni blondes na brunettes.
Hawa ni blondes Paris hilton kendra
Hawa ni brunettes kim k minka kelly megan fox angelina jolie
Nakuunga mkono kwa hilo, na vimwana vyetu itakuwaje.
East or West I go for Africa.
Kwanza wabantu wana body structure nzuri sana halafu wako sexy, tatu... ah... malizia....