Browser nzuri

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,170
Reaction score
1,356
Wakuu ni Browser gani ambayo ni nzuri kwa simu za Android inayoweza kufungua websites zote kama Laptop ukiondoa Puffin web browser?
 
Kwa Android na kwa Conputer hakuna Browser kali zaidi ya Chrome. Nimetumia Browser kibao lkn kwenye Chrome nimetia nanga.
 
Wakuu ni Browser gani ambayo ni nzuri kwa simu za Android inayoweza kufungua websites zote kama Laptop ukiondoa Puffin web browser?
RITS Browser
Kitu cha ukweli
Jaribu hiyo mkuu utaipenda.
 
Jaribu photon ama flashfox,sema zote sidhani kama ni nzuri zaidi ya puffin. Kitu gani puffin imeshindwa?
 
Inaizidi UC
Hapa naona watu wanachanganya. Anachozungumzia mtoa mada sio browser za kawaida bali ni browser zinazo act kama pc browser,zina flash support na baadhi ya vitu vyengine. Mfano ni hio puffin anayoijata.

Inasaidia unapotaka feature inayohitaji utumie version ya pc ya website.

Mfano google image reverse search hakuna box la ku upload picha ama kuweka url kwenye version ya simu ila kwa pc unaweza.

Mfano mwengine ni kuangalia mpira online kwa website zisizosupport simu.
 
Elimu ni pana sana ngoja niendelee kujifunza kwenu wadau mi nimedata na Samsung internet browser ina options nzuri hasa hii ya save page kwenye bookmark ukaisoma badae sio kwamba ni bora kuzidi zote hapana ndo mana nasoma comment za wadau nizidi kujifunza
 
Nimejaribu kuingiza free facebook ikagoma
Free facebook ama freebasics haifanyi kazi kwenye pc imetengenezwa kwa ajili ya simu. Sababu hio browser inajifanya kama browser ya pc ndio maana inakataa. Kwanini usitumie browser yako ya kawaida kupata hio fb?
 
Ok shukrani mkuu kwa maelezo yako.
ila browser gani inaweza kunisaidia ku submit website yangu freebasics, chrome nimejaribu nikashindwa.
 
Nimejaribu kustream hii site princesstv online, lakini inaleta jibu hili the was problem when loading nimetumia hii browser Puffin wataalam naomba kujifunza kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ